Kamishna wa Jeshi la Polisi, Kamisheni ya Utawala Menejimenti ya Rasilimali Watu CPSuzan Kaganda, leo Jumamosi Oktoba 28,2023 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa R&F toka Polisi Makao Makuu Jijini Dodoma kwenye mazoezi ya viungo na matembezi (ROUTE MARCH) yanayofanyika kila mwisho wa mwenzi yenye lengo la kuimarisha afya za Askari.
Home
HABARI
KAMISHNA WA POLISI CP KAGANDA AONGOZA MAZOEZI KWA MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI WA POLISI MAKAO MAKUU DODOMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...