Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed (wapili kushoto), akimkabidhi Ayne Magome zawadi ya mtungi wa gesi pamoja na kadi ya kujaza mafuta yenye thamani ya shilingi laki 5/- atakayotumia kujaza mafuta katika vituo vya kampuni ya Lake Energies baada ya kuibuka mshindi wa kwanza upande wa wanawake kwenye mashindano ya NCBA Gofu series yaliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana ambapo kampuni hiyo ilikuwa sehemu ya wadhamini wa mashindano hayo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed (kushoto), akimkabidhi tuzo ya Kombe la Unahodha wa timu ya wanawake wa Klabu ya Gymkhana, Mariam Mugo, wakati wa hafla ya kutoa tuzo kwa washindi wa mashindano ya NCBA Gofu Series yaliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana. Ambapo kampuni ya Lake Energies ilikuwa sehemu ya wadhamini wa mashindano hayo na kutoa zawadi ya mitungi ya Gasi pamoja na kadi ya mafuta kwa baadhi ya washindi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed, akicheza gofu katika mashindano ya Gofu yaliyojulikana kama  yajulikana NCBA Golf Series, Yaliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...