Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana
na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Uchambuzi na Ufungashaji Parachichi cha AvoAfrica Bw.
Nagib Karmali wakati alipowasili katika Kiwanda hicho kilichopo Makambako mkoani
Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea
na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa katika kiwanda cha Uchambuzi na
Ufungashaji Parachichi cha AvoAfrica kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe
26 Oktoba 2023)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Uchambuzi na Ufungashaji
Parachichi cha AvoAfrica Bw. Nagib Karmali wakati akitembelea na kukagua kiwanda
hicho kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...