Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime akitoa elimu kwa wakaguzi wa Jeshi la Polisi jijini Dodoma leo oktoba 11, 2023 katika ukumbi wa kikosi cha kutuliza Ghasia jijini humo kwa wakaguzi wanaoudhuri mafunzo ya utayariya ya mwezi mmoja yanayoendelea. Mada alizofundisha ni namna ya kuzungumza mbele ya (Public Speaking) na mahusiano na vyombo vya habari (Media Relation).


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...