Naibu Waziri wa Kilimo mhe.David Silinde (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini Mkurugenzi wa mahusiano ya Kampuni wa Serengeti Breweries Limited John Wanyancha (wapili kulia) wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa kilimo katika makao makuu ya kampuni ya Serengeti Breweries. 

Mazungumzo yalilenga njia za kusaidia wakulima wa ndani na fursa za kukuza sekta ya kilimo kwa lengo la kupata malighafi za ndani kwa bei na ubora unaofaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...