
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Watumishi wa Sekta ya Afya pamoja na wageni mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Nchi wakati akizindua Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Kitabu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu mara baada ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa afya ya Uzazi na mtoto na Viashiria vya malaria Tanzania kwa mwaka 2022 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...