
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), amekabidhiwa rasmi Ofisi kutoka kwa Rais aliyemaliza muda wake Mhe. Duarte Pacheco (kulia). Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 28 Oktoba, 2023 Jijini Luanda nchini Angola yakishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo Ndg. Martin Chugong (kushoto).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...