Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare akizungumza wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa Uganda wanaoishi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
BALOZI wa Uganda nchini Tanzania, Kanali Fred Mwesigye (kushoto) akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki (anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki), Balozi Stephen Mbundi (katikati) na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare (kulia) wakikata keki wakati wa hafla fupi ya kushrehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa nchi hiyo wanaoshi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare akizungumza wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa Uganda wanaoishi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimwelezea mteja kuhusu huduma za M-Pesa zinazopatikana kimataifa wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa Uganda wanaoishi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
Waziri wa Afya Zanzibar, Mh. Nassor Ahmed Mazrui (katikati) akiwa picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Kanali Fred Mwesigye (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa Uganda wanaoishi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
BALOZI wa Uganda nchini Tanzania, Kanali Fred Mwesigye akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa Vodacom Tanzania wakati wa hafla fupi ya kusherehekea siku ya Uhuru wa taifa la Uganda iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Vodacom ilisherehekea kwa pamoja na raia wa Uganda wanaoishi nchini kwa kuwasogezea huduma za M-Pesa ambazo kampuni hiyo inazitoa kimataifa ikiwamo kutuma na kupokea pesa (IMT), laini ya simu ya kielektroniki (e-Sim) pamoja na vifurushi vya kimataifa.
Home
HABARI
VODACOM TANZANIA YAUNGANA NA WAGANDA WANOISHI NCHINI KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...