Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewaongoza Viongozi, Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika mapokezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) leo tarehe 31 Oktoba, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma. Mheshimiwa Dkt. Tulia amewasili nchini baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika Mkutano wa 147 wa Umoja huo uliofanyika Jijini Luanda, Angola.

PICHA NA BUNGE








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...