HUENDA siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena na wewe mchongo rahisi upo Meridianbet nyumba ya mabingwa.

Unataka kuijua nguvu ya jero wewe, njoo hapa nikuonesha thamani ya jero yako isiishie tu kununua vocha na mihogo unaweza kuiwekeza na kupata faidia ya chombo mpyaaa kutoka Meridianbet wakali wa odds kubwa, machaguo mengi na kasino mtandaoni yenye michezo mingi ya sloti.

Promosheni hii imeanza tarehe 11 Novemba na itadumu mpaka Desemba 10, ndani ya siku 30 mshindi atakayekuwa na uwiano kubwa ya kucheza tiketi nyingi kuliko wengine atakuwa mshindi wa jumla wa droo hii.

Ukiwa na Meridianbet unajihakikishia mambo matatu muhimu kwenye jamvi lako, odds kubwa, machaguo mengi na ushindi mkubwa wakati huo unatumia dau dogo tu la Tsh 500/=

Masharti na Vigezo vya Promosheni Hii.
 Promosheni itadumu kuanzia tarehe 11.11.2023 mpaka tarehe 10.12.2023
 Cheza kila siku ndani ya siku 30 bila kukosa
 Cheza mara nyingi uwezavyo kuingia kwenye droo ya kushinda bajaji
 Dau la chini la kubashiri ni TSh 500 au zaidi kwa kila tiketi
 Droo ya mshindi itafanyika tarehe 11 Desemba 2023 na mshindi atatangazwa siku hiyo.
 Kwa kushiriki promosheni hii, kila mchezaji atakubaliana na sheria za promosheni
 Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.

NB: Funga mwaka kibingwa na Meridianbet nyumba ya mabingwa wa odds kubwa na machaguo mengi lukuki. Zikiwa zimebaki siku chache mwaka kuisha Meridianbet itatoa TV inch 55 ya Samsung kwa wateja wake watakao bashiri mechi mbalimbali kwa dau la kuanzia Tsh 1,000/= na kuendelea. Bofya Hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...