Leo tarehe 13 Novemba, 2023 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Uledi Mussa Abbas akiwa pamoja na Naibu Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mcha Hassan Mcha wamepokea na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Peter Ohene Kyei. Ujumbe huo umetembelea TRA kwa ajili ya kujifunza musuala mbalimbali ya kodi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu.
Home
BIASHARA
BODI YA WAKURUGENZI MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA YAPOKEA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI MAMLAKA YA MAPATO GHANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...