Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda (MCC) amejumuika na Waumini wengine katika kushiriki kushiriki Ibada takatifu katika Kanisa la KKKT ushirika wa Mpwapwa, Mkoni Dodoma, Leo tarehe 26 Novemba, 2023.
Mwenyekiti Chatanda amepata fursa ya kuzungumza na Waumini wa Kanisa hilo ambapo alitoa salamu za Upendo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti Chatanda amewakumbusha Wazazi na walezi kuendelea kuzingatia Mila na Desturi nzuri katika kuwalea Watoto, Lakini pamoja na Kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...