
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan leo Alhamis, Novemba 02 , 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam. (Picha na Fahadi Siraji)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...