Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini,Fahad Rashid Al-Marekhi(kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo.Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Home
HABARI
MASAUNI AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI TATU NA KUFANYA NAO MAZUNGUMZO KATIKA OFISI NDOGO ZA WIZARA JIJINI DAR ES SALAAM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...