.png)
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano(5) kutoka kwa Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho.

Meneja wa Serengeti Breweries mkoa wa Mwanza James Alphaxard, akizungumza na wateja wa vinywaji ya kampuni hiyo ya bia kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Makumbusho, kulia ni mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Igoma jijini Mwanza Melina Francis, ambapo alikabidhiwa mfano wa hundi ya Shilingi laki tano(5).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...