Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile akizungumza na viogozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) mara baada ya kupata maelezo kuhusu utendaji wa Mamlaka hiyo leo alipotembelea Mamlaka hiyo. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza S. Johari akitoa maelezo kuhusu kazi na miundo mbalimbali ya Mamlaka wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile alipotembelea Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) Aristid Kanje akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile kuhusu Chuo cha CATC pamoja na ujenzi wa chuo kwenye kiwanja cha TCAA walichokabidhiwa na Serikali alipotembelea Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Hamza Johari akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna walivyopokea maelekezo ya Serikali na kuhakikisha kuwa yatafanyiwa kazi mara baada ya Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile kumaliza ziara yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...