RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia  katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza,  wakati  hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na  kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne 2022 na wa Kidatu cha Sita 2023 wa  Skuli mbalimbali za Sekondari Zanzibar  za Serikali na Binafsi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  akihutubia  katika hafla ya kuwapongeza  kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza, na kujumuika nao katika chakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwatunza Wanafunzi Aisha na Khadija  wakisoma Utenzi maalum wa kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita kwa kufaulu vizuri katika  Mitihani yao ya Taifa na kupata Daraja la Kwanza  wakati wa hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia  katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Kidatu cha Nne na Sita wa Skuli za Sekondari Zanzibar, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa na kufuuli kwa Daraja la Kwanza,  wakati  hafla maalum aliyowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , na  kujumuika nao katika chakula maalum alichowandalia.(Picha na Ikulu)
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar Hassan Hafidh Ussi, kwa kufanya vizuri Mtihani wake wa Taifa wa Kidatu cha Sita 2023 kwa kupata Daraja la Kwanza , wakati wa hafla maalum aliyowaandalia kwa ajili ya kuwapongeza na kujumuika nao katika Chakula Maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023 na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi .(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar za binafsi na Serikali  wakiwa na zawadi zao walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza kwa kufaulu vizuri Mitihani yao ya Taifa, na kujumuika nao katika hafla maalum ya chakula alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2023.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...