Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)  akiagana na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi alipowasili katika Masjid Noor Kombeni wilaya ya Magharibi "B" leo akishiriki ibada ya Swala ya Ijumaa .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa Waumini wa mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi  leo.[Picha na Ikulu] 03/11/2023.

Waumini mbali mbali waki  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa nasaha zake  mara baada ya ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 03/11/2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...