Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata keki na baadae kuwapa wadau wa sekta ya afya baada ya kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na wadau wa sekta ya afya wakirusha maputo kama ishara ya kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wadau wa sekta ya afya kuzindua Mpango Harakishi wa Kuanzisha Huduma za Watoto Njiti na Watoto Wachanga Tanzania katika siku ya mwisho ya Mkutano wa Pili wa Kisayanzi ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto uliofanyika kwa siku tatu kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...