Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 163, kwa kituo cha afya Kisoryi kilichopo Wilayani Bunda Mkoani Mara, kwa ajili kuboresha huduma za afya kituoni hapo.

Vifaa tiba hivyo ni pamoja na Standby Electrical Generator Operating Table, Operating Light, Washing Machine, Drying Machine, Infant radiant warmer, Refrigerator for Operating theatre





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...