Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimtambulisha Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis kwa
viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis
mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023
.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus
Iohannis, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais
wa Romania Mhe. Klaus Iohannis akisaini Kitabu cha Wageni mara baada
ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis
wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika mapokezi Rasmi
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17
Novemba 2023.
Rais
wa Romania Mhe. Klaus Iohannis akikagua Gwaride la Heshima
lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja
vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...