Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe. Dr. Edouard Ngirente akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto akishiriki Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit kabla ya kuanza kwa Mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. √Čvariste Ndayishimiye kabla ya Mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakati wa Mkutano wa Ndani wa Jumuiya hiyo unaofanyika Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...