NILICHOKIONA kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kupita miaka 25 bila timu hiyo kufuzu hatua ya makundi. Meridianbet inatoa bonasi ya ukaribisho kwa wateja wote wanaojisajili kupitia Meridianbet APP, na tovuti.

Takribani miaka 25 ipite Yanga kucheza hatua hiyo hakuweza kushinda mchezo wowote kwenye kundi lake ambapo alikuwa na miamba kama ASEC Mimosas aliyemaliza na alama 13, Manning Rangers alikuwa na alama 10, Raja Casablanca alama 8, na Yanga aliyemaliza na alama 2.

Katika kundi hilo Yanga alipokea vipigo vizito kama cha 6-0 dhidi ya Raja Casablanca, akapokea 3-0 kutoka kwa ASEC, akapokea 4-0 kutoka kwa Manning Rangers lakini mechi ya marudiano alitoa sare ya 3-3 na Raja, 1-1 na Manning Rangers.

Ni Meridianbet pekee unaweza kubashiri mechi za Ligi ya Mabingwa zikiwa na odds kubwa, leo acheza Simba vs ASEC mgeni huyu amepewa odds kubwa ya ili ashinde.

Mechi ya jana imetoa picha ya aina ya kundi alilopo Yanga, Mwalimu Gamondi mpango kazi wake wa mechi haukuwa mzuri, kwanini iko hivi mechi nyingi za hatua hii hususani timu za Afrika unapokuwa ugenini lazima umuheshimu mpinzani usifunguke moja kwa moja, lakini Yanga wao walifunguka na hivyo kuruhusu kufungwa kwa counter attack.

Wachezaji wa CR Belouzdad waliumaliza mchezo kiakili tu, waliwaacha Yanga wamiliki mpira wao wakachagua kumiliki matokeo, na miwsho wa dakika 90, Yanga kaambulia umiliki wa mpira mkubwa matokeo zero. Asikwambie mtu sehemu sahihi ya kubetia ni Meridianbet ina odds kubwa, maduka kila kona na bonasi kibao, pia unaweza kucheza sloti na kasino mtandaoni kupitia meridianbet.co.tz au Meridianbet APP.

Kuelekea mechi zijazo Yanga inatakiwa atumie vizuri uwanja wake wa nyumbani kuanzia mechi ya Desemba 2 dhidi ya Al ahly kwani mwarabu yule huenda akaja na hasira zote, na Al ahaly wao ni waumini wa kushambulia kwa counter attack wakiwa ugenini, hivyo full back za Yanga hazitakiwi kupanda zote kwenda kushambulia kwani wakifanya hivyo watakuwa wanatoa mwanya kwa Percy Tau na Hussein El Shahat kushambulia kupitia pembeni.

Ukibashiri na Meridianbet kupata maokoto yako haichukui muda mrefu ni papo hapo ukishinda unavuta mpunga chap!

NB: KWA 500 TU UNAPATA BAJAJI MPYAA UKIBETI NA KITOCHI MERIDIANBET MWEZI HUU WA NOVEMBA, PROMOSHENI HII YA BAJAJI MIA5 INAISHA MWISHO WA MWEZI HUU, KUWA MMOJA KATI YA WASHINDI WA BAJAJI NA ZAWADI KIBAO KWENYE PROMOSHENI HII KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET PEKEE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...