Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu kulia akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya kutiliana saini Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Zhang zhisheng kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia michezo mbalibali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Zhang zhisheng akizungumza katika hafla ya kutiliana saini Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi huyo kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia Michezo mbalimbali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezi Tabia Maulid Mwita akishuhudia Utiliaji saini baina ya Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Zhang Zhisheng kushoto na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi huyo kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia Michezo mbalimbali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.

Balozi Mdogo wa Chiana alioko Zanzibar Zhang Zhisheng(kushoto)akibadilishana hati ya Saini na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajabu kuhusiana na Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi huyo kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia Michezo mbalimbali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.katikati ni Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezi Tabia Maulid Mwita Kulia akikabidhiwa Mpira na Balozi Mdogo wa Chiana alioko Zanzibar Zhang Zhisheng katika hafla ya kutiliana saini Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi huyo kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia Michezo mbalimbali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezi Tabia Maulid Mwita akitoa Hotuba baada ya kutiliana saini Ufadhili wa Mipira ya Mchezo wa Miguu (100)itakayotolewa na Balozi Mdogo wa China alioko Zanzibar Zhang Zhisheng kwa ajili ya kuimarisha na kusaidia Michezo mbalimbali kwa Timu za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Migombani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.15/11/2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...