Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kuhusu maadili katika utumishi ndani ya shirika alipozungumza nao jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ally S. Possi akitoa salamu za wizara kwa Watumishi Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa.
Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Nahodha. Mussa Mandia akizungumza kuhusu changamoto mbalimbali zinazopitia Shirika hilo wakati wa Kikao kazi cha Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mohamed Malick Salum akizungumza kuhusu kazi zinazofanywa na Shirika hilo pamoja na masuala ya watumishi wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa.
Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakitoa maoni yao kwenye kikao kazi cha  kikao kazi cha Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kilichofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Uchukuzi na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa alipokuwa anazungumza na watumishi wa Shirika hilo akati wa kikao kazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...