Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Theopista Mallya akiwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Mkisi, ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi (CCP) ambaye kwa sasa amestaafu utumishi kwa mujibu wa sheria.

Kamanda Mallya alifika nyumbani kwa Mstaafu huyo Kata ya Igamba wilayani Mbozi kwa lengo la kumjulia hali ikiwa pamoja na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo usalama.
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...