Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakifuatilia kwa karibu maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Umeme wa Reli ya Mwendokasi (SGR) Mkoa wa Morogoro ambapo Kamati hiyo imefanya ziara hii leo kukagua maendeleo ya ujenzi wa vituo vya kusafirisha umeme katika reli ya SGR.Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ilipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa vituo vya kusafirisha umeme katika reli ya SGR hii leo Mjini Morogoro.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...