Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akitoa tuzo ya mshindi wa kwanza ya kiutendaji miongoni mwa taasisi chini ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka 2023 kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Prof. Ahmed Mohamed Ame wakati uzinduzi wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akitoa maagizo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu CPA Habibu Suluo alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...