MTANANGE mkali utaokwenda kupigwa usiku wa leo pale katika dimba la Anfield kati ya klabu ya Liverpool ambapo watawaalika klabu ya Arsenal vinara wa ligi kuu ya Uingereza utatoa nafasi ya kupiga mkwanja wa kutosha.

Mchezo huu wa kukata na shoka umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwa kila timu, Hivo kutoa fursa ya wateja wa Meridianbet kupiga mkwanja katika kipindi hichi cha sikukuu hivo cha kufanya kwa wateja ni kuweka mkeka wako ili uweze kujipigia mkwanja.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool inakwenda kukutana na Arsenal katika kipindi ambacho vilabu vyote vinafanya vizuri, Hivo mchezo huu utakua mkali na wakuvutia kwakua hakutakua na timu ambayo itaingia kwenye mchezo ikiwa na unyonge kutokana na ubora vilabu hivi viwili ilionao.

Kuthibitisha hilo kua vilabu hivi vinakwenda kukutana vikiwa kwenye ubora mkubwa mpaka sasa Arsenal anaongoza ligi akiwa na alama 39, Lakini Liverpool walio nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza wamepishana na Arsenal kwa alama moja tu kwani wana alama 38.

Tofauti na mchezo kua mkali lakini kutakua na mtanange wa kulinda rekodi na kuvunja rekodi ambapo Arsenal watakua wanataka kuvunja rekodi kwani hawajafanikiwa kushinda Anfield tangu mwaka 2012, Huku Liverpool wao wakitaka kuitunza rekodi hiyo iendelee kua hai.

Tofauti na kipute hicho kitakachopigwa katika dimba la Anfield kutakua na michezo mingine mikali wikiendi hii ambayo itawawezesha wateja wa Meridianbet kupigwa mkwanja Westham United watakipiga dhidi ya Man United, Tottenham watakua nyumbani kuikaribisha Everton, Luton watakipiga na Newcastle United, Kule Italia Inter Milan watakipiga na Lecce, Juventus wakiwa ugenini kucheza dhidi ya Frosinone, Hispania Atletico Madrid wataikaribisha klabu ya Sevilla michezo yote itapatikana katika tovuti ya Meridianbet ikiwa imepewa ODDS KUBWA na bomba kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...