BAADA ya jana kushuhudia mbilinge mbilinge za mechi kibao zikipigwa na baadhi ya matokeo kukushangaza na kuchana mkeka wako, basi Meridianbet wanakwambia anayetaka kufanikiwa huwa hakati tamaa kwani ukibashiri kupitia kwao mambo yanakuwa burudani

Na leo hii viwanja mbalimbali vitawaka hasa pale EPL ambapo vijana wa Pochettino Chelsea baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo hii watakuwa ugenini dhidi ya Everton ambao wamweka sana. The Toffees wamepewa ODDS 2.94 kushinda huku The Blues wakiwa 2.24. Nani kuondoka na pointi tatu leo? Suka mkeka wako ahapa.

Huku majira hayo hayo ya saa 11:00 jioni Manchester City baada ya kupoteza naye pia takipiga dhidi ya Luton Town ambao nao hawapo kwenye nafasi nzuri ya msimamo wakishinda mechi 2 pekee hadi sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet, ingia na ubeti sasa.

Wakati Fulham wao baada ya kutoa dozi nzito mchezo uliopita, atakuwa mwenyeji wa West Ham United ambao wapo chini ya kocha mkuu David Moyes. Mechi hii imepewa ODDS 2.37 kwa 2.89 huku mara ya mwisho walipokutana vijana wa London waliondoka na ushindi. Bashiri na ushinde kijanja.

Mteja mpendwa wa meridianbet usiishie kubeti tuu, kumbukua pia kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni inayotolewa hapa, kama vile Poker, Roullete, Keno, Aviator na mingine kibao uweze kujipigia mkwanja utolewao hapa.

Vilevile vijana wa Ange, Tottenham Spurs watakiwasha dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao nao walishangazwa mechi yao iliyopita kwa kuambulia kibano. Spurs amepewa 2.11 kushinda mechi hii kwa 3.14. Unadhani nani hii leo atakuwa mbabe. Mechi hii itapigwa saa 1:30 jioni.

Kule SERIE A sasa kipute cha ligi hiyo kitaendelea ambapo AC Monza ambaye yupo nafasi ya 11 atakiwasha dhidi ya Genoa ambaye yupo nafasi ya 14 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3. Mechi hii imepewa ODDS 2.09 kwa 3.82. Suka jamvi lako mapema leo.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya kibonde wa ligi US Salernitana dhidi ya Bologna. Mwenyeji ameshinda mechi moja pekee hadi sasa huku kushinda leo hii amepewa ODDS 3.92 kwa 1.95 huku mgeni akiwa nafasi ya 8. Beti mechi hii sasa.

Saa 4:45 AS Roma atakichapa dhidi ya Fiorentina ambaye yupo nafasi sita kwenye msimamo wa ligi huku vijana wa Mourinho wakiwa nafasi ya nne. Mara ya mwisho walipokutana mgeni aliondoka na pointi tatu. Na leo hii Roma amepewa OODS ya 2.06 kwa 3.72. Bet sasa mechi hii.

Kule LALIGA, sasa kivumbi kitakuwa pale Civitas Metropolitano ambapo vijana wa Simeone Atletico Madrid watakiwasha dhidi ya UD Almeria ambaye ndiye wa mwisho kule Uhispania akiwa hajashinda mechi yoyote. Mechi hii ina ODDS 1.17 kwa 13.72. Beti hapa.

Granada atakuwa mwenyeji wa Athletic Bilbao mwenye ODDS 1.71 kwa 4.50. Mwenyeji yupo nafasi ya 19 kwenye msimamo na mgeni wake akiwapewa ODDS 1.72. Mara ya mwisho kukutana mgeni alipasuka. Je leo atalipa kisasi? Mechi hii ina ODDS KUBWA meridianbet.

Saa 2:30 Cadiz atakiwasha dhidi ya Osasuna huku timu zote zikiwa zimetoka kutoa sare michezo yao iliyopita. Walipokutana mara ya mwisho mgeni aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?

Huku saa 5:00 hapo hapo Laliga, Barcelona watakuwa wenyeji wa Girona ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni nne hadi sasa. Barca yupo nafasi ya 3. Je Girona kufua dafu mbele ya Xavi?

Ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA, nayo kama kawadia itarindima sana kwa mechi mbili hii leo ambapo VFB Stuttgart atakichapa dhidi ya Bayer Leverkusen ambao wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi. Walipokutana mara ya miwsho wlaitoshana nguvu. Je Alonso na vijana wake watafanya nini. Beti hapa.

Na sasa tunamalizia na ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 ambayo itaendelea leo hii na mchezo wa kwanza ni kati ya OGC Nice dhidi ya Stade Reims ambaye alishinda mchezo wake uliopita. ODDS KUBWA zipo mechi hii bashiri sasa.

Naye Lille ambaye ana pointi 26 atakuwa mgeni wa Clermont Foot ambaye ana pointi zake 10 na akishika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi atacheza dhidi ya Lille Mwenyeji ana ODDS 5.09 huku mgeni akiwa na ODDS 1.7, Je nani kusepa na alama zote mechi hii?

Naye Olympique Lyon akiwa na ODDS 1.96 atamkaribisha Toulouse mwenye ODDS zake 3.67. Ikumbukwe kuwa mpaka sasa Lyon ndiye kibonde wa ligi hiyo. Je anaweza kufanya maajabu yoyote?. Bashiri kijanja hapa.

Mechi ya mwisho leo kule Ufaransa ni hii hapa inayowakutanisha FC Lorient dhidi ya Olympique Marseille ambaye alishinda mchezo wake uliopita. Mara ya mwisho kukutana walitshana nguvu. Mechi hii ina ODDS 4.41 kwa 1.77. Suka mkeka wako hapa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...