KAMA wewe ni mchezaji wa kasino ya mtandaoni basi msimu huu wa Sikukuu Meridianbet haitakua kinyonge, ni lazima ufunge mwaka kwa mizawadi kibao na maokoto ya kutosha.

Kumekuwa na michezo mingi sana pendwa kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni miongoni mwao ni michezo ya Sloti ikiwemo AVIATOR, POKER, na ROULETTE.

Ni wakati wa kuwa mwenye furaha ya likizo unapojiliwaza na michezo bomba ya kasino ya mtandaoni kutoka MERIDIANBET! Promosheni ya Holiday Spins Splash inakusubiri kuanzia Desemba 5 hadi Januari 9.

Burudani ya kiwango kikubwa inayokupa zawadi ya 20,000 kila wiki katika raundi za ziada za bonasi, na jumla ya zawadi ya 1,000,000 Euro sawa na Tsh Bilioni 2.6.

Cheza mojawapo ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyochaguliwa, weka angalau dau moja la pesa halisi kwa kiasi chochote, na dau lolote linalostahiki linaweza kuamsha tuzo moja ya nasibu kutoka kwenye hazina ya zawadi.

Michezo ya kasino ya mtandaoni Iliyochaguliwa:

Big Bass Christmas Bash

Sweet Bonanza Xmas

Sugar Rush Xmas

Big Bass Bonanza

Bigger Bass Blizzard – Christmas Catch

5 Frozen Charm

Sugar Supreme Powernudge

Leprechaun Caro.

Kama ulikuwa unawaza utaufungaje mwaka basi MERIDIANBET wamekufikia na kutimiza uwanja wa ndoto zako unapocheza michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni na sloti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...