Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Charles Msonde akihutubia washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (3rd International Quality Education Conference – IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, kabla ya kufungua rasmi mkutano huo wa kimataifa unaoshirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education akizungumza na washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.

Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akizungumza kwenye Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga akizungumza kuwakaribisha wajumbe washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (3rd International Quality Education Conference – IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, kabla ya kufungua rasmi mkutano huo wa kimataifa unaoshirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.

Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akizungumza kwenye Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika kwenye Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia hotuba mbalimbali.
Baadhi ya wanafunzi wanaoshiriki Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), wakiwa kwenye Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika kwenye Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia hotuba mbalimbali.

Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika kwenye Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia hotuba mbalimbali.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akipata maelezo kutoka Banda la HakiElimu kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya TEN/MET kwenye banda lao alipokagua mabanda kwenye Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam, na kushirikisha wadau anuai wa elimu kutoka ndani na nje ya nchi.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akipokea zawadi ndani ya Banda la Camfed Tanzania katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akipokea maelezo ndani ya Banda la Camfed Tanzania katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akitembelea mabanda mbalimbali ya wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akitembelea Banda la UWEZO Tanzania kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akishauri jambo kwa Dkt. Charles Msonde Naibu Katibu Mkuu, TAMISEMI pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu
alipokagua manda kabla ya uzinduzi wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akitembelea mabanda mbalimbali ya wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (kushoto) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education na mgeni wa heshima katika Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), akitembelea mabanda mbalimbali ya wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) kabla ya kufunguliwa kwa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Ubora wa Elimu (IQEC), linalofanyika katika Ukumbi wa Marquee, Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Aliyeambatana naye ni mgeni rasmi katika mkutano huo Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Charles Msonde.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...