Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kushoto) akiwa na Meneja Mkazi wa TAQA Dalbit nchini, Amr AbouShady (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Primefuels Africa, Nikesh Mehta wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha kujaza gesi asilia  cha TAQA Dalbit jijini Dar es Salaam, Gesi inayosambazwa na PAET kutoka visima vya  Songo Songo, ambao wamekuwa wakisambaza CNG kwenye viwanda na kwa matumizi ya magari tangu 2009.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe . Doto Biteko akizungumza kwenye uzinduzi wa kituo kipya cha gesi asilia iliyosindikwa CNG kwa ajili ya magari cha TAQA Dalbit kilichopo Airport jijini Dar es salaam ambacho kinasambaziwa gesi hiyo kutoka PAET.

Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kushoto) akiwa na Meneja Mkazi wa TAQA Dalbit nchini, Amr AbouShady (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Primefuels Africa, Nikesh Mehta wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha kujaza gesi asilia  cha TAQA Dalbit jijini Dar es Salaam, Gesi inayosambazwa na PAET kutoka visima vya  Songo Songo, ambao wamekuwa wakisambaza CNG kwenye viwanda na kwa matumizi ya magari tangu 2009.

 Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kulia) akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais wa TAQA  Arabia, Adly Kafafy (kushoto) na Katikati ni Mkurugenzi wa Miradi TAQA Dalbit, Eslam Yehin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...