JADE VALLEY ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya malipo unaopatikana Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Unapocheza sloti hii ya kasino ya mtandaoni ili ushinde unapaswa kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari, na ushindi kuhesabiwa kutoka nguzo ya kushoto.

Kila mstari wa malipo unalipa ushindi mmoja, na katika kesi ya mchanganyiko wa ushindi zaidi ya mmoja, thamani kubwa inashinda. Unganisha ushindi wako kwenye mistari mingi kwa wakati mmoja ili kuongeza uwezekano wako wa ushindi mkubwa kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni.

Boresha safari yako kwa kurekebisha dau lako kwa kila mstari kupitia menyu ya Line Bet, na uone thamani ya dau kwa mzunguko kwenye uwanja wa Jumla ya Dau. Ikiwa unapendelea mfumo wa ki-automatiki, unaweza Kucheza moja kwa moja, kuruhusu hadi mizunguko 100 bila shida. Kwa wale wanaopendelea mchezo wa haraka, wezesha mizunguko ya haraka katika mipangilio chini ya nguzo.

Alama Za Ushindi Sloti Ya Jade Valley
Anza safari yako na alama za karata kama 10, J, Q, K, na A kila moja ikiwa na malipo yanayofanana. Ikifuatiwa na maua ya dhahabu yenye kupendeza, yenye malipo ya juu kidogo ukilinganisha na alama za karata, ukiunganisha alama tano za aina hii utapata mara 75 ya dau lako.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unazidi kushika kasi na alama ya kisu cha dhahabu, inayotoa malipo mara 100 ya dau lako ukifanikiwa kuunganisha alama tano za aina hii. Shuhudia ushindi wenye kuleta mara 300 ya dau lako kila ukianganisha alama tano za kijana mwenye upanga.

Kilele cha ubingwa kwenye safari yako ndani ya sloti ya Jade Valley ni alama ya msichana mwenye feni, unganisha alama tano za aina hii ujipatie ubingwa mara 500 ya dau lako.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unazidi kuwa mtamu haswa unapokutana na alama ya Wild Joker, inayowakilishwa na maua yenye nembo Wild. Alama hii inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya Scatter na alama ya bonasi, huku ikiongeza nafasi yako ya kuunda mchanganyiko wa ushindi kwenye nguzo zote.

Jackpoti Zifuatazo Zinakungoja Kwenye Sloti Ya Jade Valley;
Mini Jackpot – Inakupatia ushindi mara 20 ya dau lako
Minor Jackpot – Inakupatia ushindi mara 100 ya dau lako
Major Jackpot – Inakupatia ushindi mara 500 ya dau lako
Grand Jackpot – Inakupatia ushindi mara 2000 ya dau lako

NB: Jisajili,Ongeza salio na Cheza dau lako mara 1 kwenye soka au kasino ma upate mizunguko ya bure na bonasi ya mpaka 2,500,000 ndani ya Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...