Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisaini kitabu cha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akipata maelezo kutoka kwa Maafisa Uhusiano na Masoko wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kutoka kushoto ni Monica Sapanjo, Rukia Kajiru na  Arnold Tarimo kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka hiyo alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akifurahia jambo na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wakiongozwa na Afisa Habari wa TPA, Rukia Kajiru alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...