Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), CPA Miraji Kipande akipokea tuzo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu kutoka kwa Mhe. Jamal Kassim Ali, Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar mara baada ya TPA kutangazwa mshindi wa 2 katika kitengo cha wakala wa serikali kwa utoaji bora wa taarifa za fedha. Tuzo hiyo ilitolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Da es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...