Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Samoja, Bi. Sarafina Mussa Sanga yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.
Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Sangu, Bi. Witness Charles Mwambelo, yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.




Walimu na wanafunzi wakifuatilia mafunzo ya 'coding' kupitia programu ya Vodacom Tanzania inayojulikana kama 'Code Like a Girl' yaliyofanyika katika chuo cha TEKU mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...