WAJASIRIAMALI kutoka mitaa ya Mbagala Rangi Tatu jijini Dar-es-salaam wamepokea msaada kutoka wataalamu wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet mapema leo.

Kampuni ya Meridianbet ilifika mitaa ya Mbagala Rangi Tatu na kuhakikisha wanafikisha tabasamu eneo hilo katika msimu huu wa sikukuu, Ambapo walifanikiwa kutoa msaada wa Miamvuli kwa wajasiriamali wa eneo ambayo itawasaidia katika shughuli zao za kila siku.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Suala la kurudisha kwenye jamii tena jamii yenye uhitaji limekua kama kauli mbiua ya kampuni hiyo, Kwani leo tena walifikia watu wenye uhitaji katika eneo la Mbagala Rangi Tatu na kuhakikisha wanaigusa jamii na wakazi wa eneo hilo kwa namna moja ama nyingine.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema “ Tunayo furaha kubwa kufika hapa Mbagala Rangi Tatu na kutoa msaada wa miamvuli kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku”

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ukiachana mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram kuzungumza, Lakini moja ya mjasiriamali wa eneo hilo alipata nafasi ya kuzungumza na kushukuru kwa msaada walioupata “Tunapenda kuishukuru sana Meridianbet kwa kutukumbuka na kufika hapa kutupatia Miamvuli ambayo itakwenda kutusaidia kwenye shughuli zetu za kila siku”



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...