MECHI za FA Cup nchini Uingereza zinaendelea kama kawaida ambapo safari hii zimekuja na ODDS za kutosha ndani ya Meridianbet ambapo zitakufanya wewe mtumiaji wa kampuni hii kukusanya maokoto ya maana. Ingia sasa ujionee jinsi ya kupuna pesa.

Leo hii majira ya saa 4:15 Brentford chini ya kocha mpya wakuwa wenyeji wa Wolvehampton Wonderers huku takwimu zikisema kuwa mara ya mwisho walipokutana kwenye ligi, Mbwa mwitu alishinda. Nyuki kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.50 kwa 2.74. Beti sasa mechi hii.

Utamu kolea mwingine utakuwa ni kati ya Tottenham Spurs dhidi ya vijana wa Vincent Kompany Burnley ambao bado hawana mwenendo mzuri kwenye ligi. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Spurs ya Ange wakiwa na ODDS 1.40 kwa 6.07. Nani kuondoka na pointi 3 leo? Ingia mchezoni na ubashiri kishua hapa.

Pia Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roullette na mingine kibao ya sloti kwa dau dogo tuu uweze kukwapua maokoto ya nwezi huu wa Januari. Ingia mchezoni na ucheze.

Naye Fulham majira ya saa 4:30 usiku atakiwasha dhidi ya Rotherham United ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo inashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi 3 kwenye michezo 26 aliyocheza. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Hapo kesho kitawaka pia kuanzia majira ya saa 9:30 mchana ambapo Millwall atakuwa mwenyeji wa Leicester City ambaye ndiye kinara wa ligi daraja la kwanza (Championship) huku mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 3.72. Jisajili na ucheze.

Hapo hapo kesho, Sunderland ataumana dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao walianza ligi vizuri lakini kwasasa wanasuasua wakiwa nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Je kesho wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao? Suka jamvi lako mapema leo.

Bournemouth FC watakuwa ugenini dhidi ya Queens Park Rangers ambayo ipo Championship wakiwa wamepewa ODDS 5.48 na mgeni akipewa 1.45. QPR yupo nafasi ya pili kutoka mwisho kwenye msimamo huku Bournemouth akiwa wa 12 EPL. Je nani ni nani hapo kesho?

Wakati huo huo Stoke City atazichapa dhidi ya Brighton ya Roberto De Zerbi ambao kushinda wamepewa ODDS 1.50 kwa 5.29. Mechi hii ina machaguo mengi zaidi meridianbet. Ingia sasa na ubeti.

Saa 2:30 usiku Chelsea chini ya Pochettino watakuwa pale Stamford Bridge kucheza dhidi ya Preston North End ya Championship. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa The Blues akiwa na ODDS 1.15 kwa 12.74. Beti kishua hapa.

Vilevile Middlesbrough FC watakuwa wenyeji wa vijana wa Unai Emiry Aston Villa ambao ni moja kati ya timu ambazo zinafanya vyema sana kwa sasa kwenye ligi kuu wakiwa nafasi ya pili mpaka sasa. Kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.52 kwa 5.09. Beti sasa.

West ham United ya David Moyes nao wanasema wanalitka Kombe hili ambapo wao watakuwa pale London Stadium kuzichapa dhidi ya Bristol City ambao wamepewa ODDS 6.66 kushinda mechi huku Wagonga nyundo wa London wao wakipewa 1.37. Tengeneza jamvi lako hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...