HAYAWI hayawi hatimae yamekua ile michuano iliyokua ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka barani Afrika na nje ya bara la Afrika leo itaanza kurindima nchini Ivory Coast.

Michuano ya 34 ya AFCON itaanza kutimua vumbi rasmi leo ambapo wenyeji wa michuano hii kwa mwaka huu 2024 timu ya taifa ya Ivory Coast watakua dimbani kumenyana na timu ya taifa ya Guinnea-Bissau, Huku Meridianbet wao wakimwaga Odds za kutosha kupitia michuano hii ili kuwawezesha wateja wake kupiga mkwanja.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana

Michuano ya mwaka huu ambayo itaanza kutimua vumbi leo itahusisha timu 24 kutoka katika bara la Afrika ambazo zilifanikiwa kufuzu michuano hii, Huku makundi yakigawanywa kufikia sita kuanzia kundi A mpaka kundi F.

Timu 12 zitapatikana katika kila kundi ili kutengeneza timu 16 ambazo zitacheza hatua ya 16 bora, Hivo katika makundi sita zitapatikana timu mbili kundi kwa maana ya timu 12, Huku zitafutwa timu nyingine nne kama best loser katika makundi yote sita ili kutimiza timu 16.

Tangu michuano ya Afcon ianzishwe mwaka 1957 imefanikiwa kutoa mabingwa 15 yaani nchi tofauti tofauti 15 zimeshafanikiwa kutwaa ubingwa wa AFCON, Huku bingwa wa muda wote akiwa timu ya taifa ya Misri maarufu kama Pharaos wakiwa wametwaa ubingwa huo mara saba.

Rekodi nyingine kuhusiana na michuano hii mikubwa kabisa ya soka barani Afrika kwa upande wa timu za taifa ambapo mshambuliaji wa timu ya Cameroon Samuel Eto’o Fills anaendelea kushikilia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo akiwa na mabao 18.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja wao unafanikiwa kupiga mkwanja kupitia michuano ya AFCON ambapo wamekuja na kampeni yao inakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...