MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo 15-1-2024, katika Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuari ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhandisi Nassir na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Hamashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma ajenda za Kikao hicho kabla ya kuaza, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, na (Kulia kwa Mwenyekiti ) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Emanuel Nchimbi akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, baada ya kutangzwa kwa Wajumbe katika Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, kilichoongwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...