Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini, Tri Yogo (kushoto), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Indonesia katika  kikao kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar, Januari 14, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Balozi wa Indonesia nchini, Tri Yogo (kulia), baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Indonesia katika kikao kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar, Januari 14, 2024. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...