Msemaji wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime Januari Mosi, 2024 ameendelea na ziara ya ukaguzi katika wilaya ya Mbozi mkoani Songwe ambapo pamoja na kukagua kazi mbalimbali za Polisi wilayani humo, pia amefanya vikao kwa nyakati tofauti tofauti na maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika vikao hivyo amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhakikisha usalama unaendelea kuimalika mkoani hapa hasa katika kuzuia vitendo vya uhalifu.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...