Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akizungumza na watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipofika kwenye banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Shirika TASAC, Hamidu Mbegu kuhusu wanavyofanya usajili wa Meli kwenye banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Sheria Mkuu kutoka TASAC Devotha Mandanda alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akisaini kitabu mara baada ya kupata maelezo kweye banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Shirika TASAC, Hamidu Mbegu mara baada ya kutembelea Banda la Shirika hilo kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...