Kijana Noel Tesha, anayejishughulisha na ufundi wa magari mjini Singida, akiwa ameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. 500,000/=, baada ya kushinda shindano la Maokoto kupitia kinywaji cha bia ya Serengeti.

Mshindi wa promosheni ya maokoto ndani ya kizibo mzunguko wa 11 Zainab Mafuru, akifurahi baada ya kupokea mfano wa hundi kutoka kwa  Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Desdelius Method, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Makumbusho Pub igoma jijini Mwanza.

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mapinga, Bagamoyo Mkoa wa Pwani Ashura Hamis, akiwa ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi Laki tano mara baada ya kukabidhiwa na Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Empire Sports Januari 06, 2024.

Pichani ni Aisha Mohamed (kulia ) akipokea hundi ya Tsh 500,000/= kutoka kwa Oscar Oscar mwakilishi wa SBL (kushoto)  Aisha amejishindia fedha hiyo kutokana na kampeni inayoendeshwa na kampuni hiyo ijulukanayo maokoto ndani ya kizibo katika  halfa ho iliyofanyika Big Brother Newala, Mtwara tarehe 06 januari 2024.


Mwakilishi wa mauzo kutoka kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Moshi Mjini Christian Kakunguru (kulia) akimkabidhi Mshindi wa  shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi,  Mkoani Kilimanjaro Mwijuma Khalfan hundi mfano ya tsh 500,000 baada ya kuibuka mshindi kwenye shindani hilo kwenye   hafla iliyofanyika bar ya RedStone iliyopo Mjini Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...