Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin kuhusu kazi zinazofanywa a na Shirika hilo alipotembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin alipotembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka Teophory Mbilinyi akisaini kitabu mara baada ya kupata maelezo kweye banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka Teophory Mbilinyi akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Sheria Mkuu kutoka TASAC Devotha Mandanda mara baada ya kupata maelezo kweye banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Profesa Ulingeta Mbamba akisaini kitabu katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Afisa Sheria Mkuu kutoka TASAC Devotha Mandanda akitoa elimu kwa mwananchi aliyefika katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. Katikati ni Mfanyakazi wa TASAC, Conrad Shio
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Martha Kelvin akitoa maelezo kwa mwananchi aliyetembelea Banda la TASAC  kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...