MAMBO vipi mteja wa meridianbet kama ilivyo ada kutusua mkwanja ni jambo la lazima sana kama utachagu kuwa mwanafamilia wa meridianbet endapo leo hii kuna mechi kibao ambazo zitaenda kupigwa nchini Uingereza kombe la FA na tayari meridianbet wameshakupatia ODDS za maana ingia sasa na ubeti.

Jumapili hii tunaanzia pale London ambapo West Ham United chini ya kocha David Moyes watakuwa wenyeji wa Bristol City ya ligi daraja la kwanza na wakiwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.35 kwa 7.84. Suka jamvi lako hapa.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Luton Town ambao wamepanda daraja msimu huu dhidi ya Bolton Wonderers ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.50 kwa 1.68. Je nani kuondoka na pointi tatu leo hii? Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii.

Ukiachana na mechi hizo za FA CUP, pia meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Aviator, Roullette, michezo ya Sloti na mingine kibao. Ingia na ucheze sasa kwa dau dogo tuu.

Nao Leeds watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Peterborough kwenye michuano hii ya FA Uingereza. Timu hizi zilipokutana mwaka 2016 Leeds alipoteza ilikuwa mechi ya kirafiki. Leo hii wanakutana kwenye michuano hii huku kila timu ikifanya vizuri kwenye ligi yake. 4.31 na 1.65 ndio ODDS za timu hizi mbili. Jisajili hapa.

Nottingham Forest ambao wnaa kocha mpya Nuno Santo watakuwa katika dimba lao la City Ground kukiwasha dhidi ya Blackpoool ya League 1. Nafasi ya kuondoka na ubabe leo hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.39 kwa 6.86. Nani ni nani leo hii. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale meridianbet.

Wakati West Bromwich wao watakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Aldershot Town majira ya saa 11:00 jioni. Mechi hii imepewa ODDS 1.20 kwa 10.78. Unadhani nani atakupatia pesa leo hii. Chagua vizuri uamke na mkwanja hapo kesho.

Pep Guardiola na vijana wake Manchester City nao watakuwa pale Etihad kukabiliana na Huddersfield Town ambao wapo nafasi ya 21 kwenye msimamo wa Championship huku wakishinda mechi 5 pekee kati ya 26 walizocheza. Beti sasa.

Na leo hii Jumapili iatakamlimishwa na bonge la mechi kati ya Arsenal dhidi ya Liverpool majira ya saa 1:30 usiku katika dimba la Emirates huku mara ya mwisho walipokutana, walitoshana nguvu. Je leo hii kutakuwa na mbabe?. The Gunners kushinda amepewa ODDS 2.01 kwa 3.38. Nani atakupatia pesa leo hii?. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...