Wakala wa usajili ufilisi na udhamini i (RITA )leo wameshiriki maadhimisho ya wiki ya sheria yaliyoanza toka 24 -30 Januari katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam na viwanja vya nyerere Square mkoani Dodoma .
Wiki ya sheria imezinduliwa rasmi leo ambapo mgeni rasmi katika maadhimisho haya kitaifa mkoani Dodoma alikuwa ni Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...