Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI leo Februari 21,2024 imetembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Jijini Dar Es Salaam kuona hali ya utoaji huduma pamoja na ukaguzi wa miradi ya Afya katika Taasisi hiyo.
Kamati hiyo imepokelewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bw. Tumainiel Macha, pamoja na watumishi wengine wa Wizara pamoja JKCI.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Faustine Ndugulile ameipongeza Taasisi hiyo kwa kuendelea kutoa huduma bora za matibabu ya kibingwa na kuwa kituo mahiri kwenye utoaji wa matibabu ya moyo katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...