Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania. Mhe David Concar leo Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania. Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye, leo Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...